Posted on: December 13th, 2022
Halmashauri ya Mji Masasi November 30,2022 wamefanya Kikao Cha Pili Cha kupitia Muongozo wa kujiandaa na Mpango wa zarula wa Maafa Kwa ajili ya kuboresha Kwa Maeneo yenye Mapungufu.(EPRP)
...
Posted on: December 13th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Bi Claudia Kitta amewapongeza wazazi na walezi wa Vijana ambao wamehitimu Mafunzo ya Jeshi la akiba (MGAMBO) Kwa kuwawezesha Vijana wao kujiandikisha na Jeshi Hilo kwani...
Posted on: December 13th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Claudia Kita tarehe 8,12,2022 amekabidhi Reflector 500 na kofia ngumu (Helmet) 30 kwa waendesha Bodaboda wilayani huo msaada uliotolewa na Ofisi ya kuu wa Mkoa wa Mtw...