• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

Historia

Halmashauri ya Mji Masasi ni kati ya Halmashauri tisa (9)  zilizopo katika mkoa wa Mtwara. Mji wa Masasi ndio Makao makuu ya Wilaya ya Masasi, Wilaya ambayo ina Halmashauri mbili ambazo ni hamashauri ya Mji na Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Halmashauri ya Mji ilianzishwa mwezi julai mwaka 2012 baada ya kuigawa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Ina jumla ya kata 14 ambazo ni Mkuti,Jida,Mtandi,Chanikanguo,Migongo,Mkomaindo,Nyasa,Napupa,Temeke,Sululu,Marika,Mwenge Mtapika,Mumbaka na Matawale.

Halmashauri ya Mji Masasi imepakana na Halmashauri ya Nanyumbu kwa upande wa kusini na Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kwa upande wa mashariki na kaskazini. Masasi ni mji unaokuwa kila siku hivyo ni sehemu nzuri kwa uwekezaji kwani huduma zote muhimu zinapatika na pia ni mji ambao unafikika kiurahisi kutoka katika Mikoa ya  Mtwara, Lindi,Daresalaam, Ruvuma, Mbeya na Pwani.

Toka imeanzishwa Halmashauri ya Mji imeongozwa na wakurugenzi wafuatao:


NAMBA
JINA
MWAKA ALIOANZA
MWAKA ALIONDOKA
1.
ADRIAN JUNGU
2012
2013
2.
MOHAMEDI SAIDI NANYANJE
2013
2014
3.
 BRAVO KIZITO LYAPEMBILE
2014
2015
4.
FORTUNATUS KAGORO
2015
2016
5
GIMBANA NTAVYO
2106
-

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • .STANDI YA MAEGESHO YALETA FURSA KWA WANANCHI MASASI.

    March 22, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.