Posted on: August 5th, 2023
Diwani kata ya Mumbaka Mhe. Hamisi Nikwanya amechaguliwa rasmi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi.
Awali akitangaza matokeo ya uchaguzi katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa mwak...
Posted on: August 4th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Lauter John Kanoni amewataka watumishi wapya wa Halmashauri ya Mji Masasi kufanya kazi kwa bidii, ufanisi na uzalendo ili kutimiza malengo ya Serikali ya Jamhuri ya Muung...
Posted on: August 3rd, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi, Mhe. Hashim Namtumba amewataka wakuu wa idara, vitengo na wataalamu kutekeleza wajibu wao kwa weledi na ufanisi ili kuchochea maendeleo ya halmashauri...