Posted on: November 13th, 2023
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Dennis Londo imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya ujenzi wa miundombinu katika vituo v...
Posted on: November 9th, 2023
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi Mhe. Hashim Namtumba amezindua rasmi jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi na kukabidhi mwongozo wa uendeshaji wa jukwaa hilo kwa ngazi ya Halmashauri.
Amez...
Posted on: November 8th, 2023
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Masasi likiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Hashim Namtumba limemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedh...