Posted on: August 7th, 2023
Mwenyekiti wa Kamati ya Mpango wa kudhibiti ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) Halmashauri ya Mji Masasi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mji Masasi Bi. Erica Yegella amesema ...
Posted on: August 5th, 2023
Diwani kata ya Mumbaka Mhe. Hamisi Nikwanya amechaguliwa rasmi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi.
Awali akitangaza matokeo ya uchaguzi katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa mwak...
Posted on: August 4th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Lauter John Kanoni amewataka watumishi wapya wa Halmashauri ya Mji Masasi kufanya kazi kwa bidii, ufanisi na uzalendo ili kutimiza malengo ya Serikali ya Jamhuri ya Muung...