Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Anawatangazia Wananchi wote wa Masasi kuwa Tarehe 28/07/2018 ni Jumamosi ya Usafi wa Mazingira, Kila Mwananchi Anapaswa kufanya Usafi wa Mazingira katika Maeneo anayoishi na Maeneo ya Biashara. Usafi Unaanza saa 12Asubuhi mpaka Saa 3 Asubuhi. Atakayekiuka Agizo Hili Atachukuliwa Hatua za Kisheria ikiwa ni Pamoja na Kulipa Faini Isiyozidi Tshs 200,000/= na Isiyopungua Tshs 50,000/=.