UTANGULIZI:
Idara hii ina jumla ya vitengo viwili, kitengo cha mifugo na kitengo cha Uvuvi vyenye watumishi 21 Me19 Ke 2 kati yao watumishi kitengo cha Mifugo ni 20 Me19 Ke1 na kitengo cha Uvuvi yupo 1 Me 0 na Ke 1
MALENGO YA IDARA:
Lengo kubwa ni kuhakikisha wafugaji wanapata Elimu ya ufugaji bora wa kisasa na wenye tija ili kuongeza pato la kitaifa ili aondokane na umaskini.
VITENGO VYA IDARA NA MAJUKUMU YAKE:
1: MIFUGO:
2: KITENGO CHA UVUVI:
Ngombe wa Maziwa aina ya fresian ana uzito wa kg 500 Mwenye uwezo wa Kutoa lita 12 kwa siku.
HUDUMA MUHIMU ZITOLEWAZO MARA KWA MARA
· Uogeshaji mifugo
· Chanjo ya kuku dhidi ya ugonjwa wa Kideri
· Chanjo dhidi ya kichaa cha Mbwa
· Matibabu dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mifugo
· Kutoa Elimu ya ufugaji bora
· Kutoa kinga na matibabu dhidi ya minyoo
· Kuhakikisha usalama wa nyama na walaji
· Kutoa Elimu ya ufugaji bora wa samaki
· Kutoa vibali vya uvuvi na ukusanyaji wa samaki
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.