Posted on: June 19th, 2023
Viongozi mbalimbali wa Serikali wameipongeza Halmashauri ya Mji Masasi kwa kupata hati safi (Unqualified Opinion) katika taarifa ya Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022.
...
Posted on: June 13th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abbas Ahmed amewaagiza wataalamu wa Halmashauri ya Mji Masasi kuhakikisha wanafanya tathimini ya kina ya vyanzo vya Mapato na kuitumia taarifa watakayoipata...
Posted on: May 6th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Masasi Lauter John Kanoni ametoa pongezi kwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa ambayo anaifanya ya kutoa Fedha za Utekelezaji wa ...