Idara ya Elimu Msingi
TAARIFA ZA IDARA ELIMU MSINGI
1: Halmashauri ya Mji idara ya elimu msingi ina lengo la kutoa elimu bora kuanzia ngazi ya elimu ya awali, Elimu msingi, elimu maalum ,pamoja na elimu ya ufundi stadi. Halmashauri hii inajumuisha taasisi za elimu kama ifuatavyo:
S/N
|
AINA YA TAASISI
|
SERIKALI |
SHULE ZISIZO ZA SERIKALI |
JUMLA |
1
|
Elimu ya awali
|
35 |
3 |
38 |
2
|
Elimu Msingi
|
35 |
3 |
38 |
3
|
Vituo vya walimu (TRC’s)
|
1 |
0 |
1 |
4
|
Vituo vya ufundi stadi
|
0 |
0 |
0 |
5
|
Shule zenye vitengo vya elimu maalum
|
2 |
0 |
2 |
2: IDADI YA WANAFUNZI KWA SHULE ZA SERIKALI.
Jedwali lifuatalo linaonesha idadi ya wanafunzi kimadarasa kwa mwaka 2017 katika shule za serikali:-
DARASA
|
ELIMU YA AWALI
|
KITENGO
|
I
|
II
|
III
|
IV
|
V
|
VI
|
VII
|
JUMLA
|
WAVULANA
|
1524
|
13
|
1827
|
1742
|
1838
|
1651
|
1345
|
1322
|
832
|
12094
|
WASICHANA
|
1511
|
6
|
1958
|
1738
|
1780
|
1528
|
1467
|
1277
|
1010
|
12275
|
JUMLA
|
3035
|
19
|
3785
|
3480
|
3618
|
3179
|
2812
|
2599
|
1842
|
24369
|
3: HALI YA MIUNDO MBINU
Miundombinu kwa shule za msingi imekuwa ikiimarika mwaka hadi mwaka kutokana na ushirikiano baina ya Halmashauri yetu na wadau mbalimbali wa elimu.
Jedwali lifuatalo linaonesha hali ya miundo mbinu ya shule:
S/N
|
AINA YA MIUNDO MBINU
|
MAHITAJI |
ILIYOPO |
UPUNGUFU |
1
|
VYUMBA VYA MADARASA
|
545 |
272 |
273 |
2
|
NYUMBA ZA WALIMU
|
530 |
61 |
489 |
3
|
VYOO VYA WANAFUNZI -WAV
|
465 |
213 |
252 |
|
VYOO VYA WANAFUNZI - KE
|
527 |
259 |
268 |
4
|
VYOO VYA WALIMU - ME
|
43 |
25 |
18 |
|
VYOO VYA WALIMU - KE
|
45 |
26 |
19 |
4: HALI YA SAMANI
S/N
|
AINA YA SAMANI
|
MAHITAJI |
ZILIZOPO |
UPUNGUFU |
1
|
MEZA
|
863 |
400 |
463 |
2
|
VITI
|
942 |
470 |
472 |
3
|
KABATI
|
518 |
90 |
428 |
4
|
SHUBAKA
|
226 |
41 |
185 |
5
|
MADAWATI
|
6697 |
6935 |
-238 |
5: IDADI YA WALIMU ELIMU MSINGI HALMASHAURI YA MJI NI KAMA IFUATAVYO:-
DARAJA
|
ME |
KE |
JUMLA |
CHETI/DARAJA IIIA
|
98 |
199 |
297 |
STASHAHADA
|
38 |
42 |
80 |
SHAHADA
|
33 |
21 |
54 |
SHAHADA YA UZAMILI
|
0 |
0 |
0 |
JUMLA KUU
|
169 |
262 |
431 |
6: MATOKEO YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI KWA MWAKA 2016
Mwaka 2017 jumla ya wanafunzi 2415 walifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ,ambapo wanafunzi 1234 sawa na asilimia 51.1 walifaulu na kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza ,kati ya wanafunzi hao 595 ni wavulana sawa na asilimia 48.2 na 639 ni wasichana sawa na asilimia 51.8 ya Waliofaulu.
7: USAJILI WA WATAHINIWA KWA DARASA LA IV NA NA DARASA LA VII - 2017.
Usajili kwa wanafunzi wa madarasa ya mtihani umefanyika ambapo wanafunzi wa darasa la IV ni 3398 wanaotarajiwa kufanya mtihani wa (SFNA), Vile vile jumla ya wanafunzi 1842 wa darasa la VII wamesajiliwa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi PSLE -2017 .
Majedwali yafuatayo yanatoa taarifa ya usajili huo
A: DARASA LA IV.
DARASA IV
|
WAV |
WAS |
JUMLA |
MIKONDO |
MKONDO WA KISWAHILI
|
1737 |
1566 |
3303 |
143 |
MKONDO WA KIINGEREZA
|
38 |
53 |
91 |
5 |
VONI HAFIFU
|
0 |
4 |
4 |
2 |
JUMLA KUU
|
1775 |
1623 |
3398 |
150 |
B: DARASA LA VII.
DARASA VII
|
WAV |
WAS |
JUMLA |
MIKONDO |
MKONDO WA KISWAHILI
|
801 |
986 |
1787 |
83 |
MKONDO WA KIINGEREZA
|
26 |
23 |
49 |
3 |
LOW VISSION
|
6 |
1 |
7 |
1 |
JUMLA KUU
|
832 |
1010 |
1842 |
87 |
MATUKIO KATIKA PICHA.
KWAYA YA SHULE YA MSINGI SULULU IKITUMBUIZA KATIKA SHEREHE YA JUMA LA ELIMU ILIYOFANYIKA KIWILAYA KATA YA SULULU.
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.