Posted on: July 25th, 2023
Watumishi na wananchi wa Halmashauri ya Mji ya Masasi Mkoani Mtwara wameadhimisha siku ya Mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira katika hospitali ya Mkomaindo iliyopo halm...
Posted on: July 11th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi, Bi. Erica Yegella amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa ufanisi na weledi ili kuongeza tija katika utendaji kazi hususani katika ukusanyaji wa mapato.
...
Posted on: June 22nd, 2023
Wananchi wa Halmashauri ya Mji Masasi wanakwenda kunufaika na ujenzi wa barabara ya Mnivata-Newala- Masasi yenye urefu wa kilometa 160 mara baada ya kukamilika kwa zoezi la Serikali kusaini mikataba m...