Halmashauri ya Mji Masasi November 30,2022 wamefanya Kikao Cha Pili Cha kupitia Muongozo wa kujiandaa na Mpango wa zarula wa Maafa Kwa ajili ya kuboresha Kwa Maeneo yenye Mapungufu.(EPRP)
Kikao ambacho kimeandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo Cha Maafa na kufadhiliwa na Mpango wa Chakula Duniani (WFP
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.