Jarida la Mtandaoni Halmashauri ya Mji Masasi ni maalum kwa ajili ya kutangaza masuala mbalimbali ya Halmashauri na Miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali.
Jarida hili litakuwa linatolewa kila baada ya miezi mitatu. Hili ni Toleo la Pili, Oktoba hadi Desemba, 2023.
Jipatie nakala yako sasa bure, kwa kubonyeza link hapo chini.
JARIDA LA MTANDAONI MASASI MJI TOLEO LA 2_compress_240206_073350.pdf
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.