Posted on: March 22nd, 2025
Halmashauri ya Mji Masasi Mkoani Mtwara ilitangaza rasmi kuanza kutumika kwa standi yake mpya ya Maegesho ya vyombo vya moto (Magari) March 17, 2025 iliyopo Kata ya Mwengemtapika barabara ya kuelekea ...
Posted on: March 21st, 2025
Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Prophina Machi 21, 2025 wametembelea kituo cha kutolea elimu ya mazingira Halmashauri ya Mji Masasi kwa lengo la kujifunza uhifadhi na utunzaji wa mazingira.
...
Posted on: March 21st, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Lauteri John Kanoni amewapongeza wakazi wa Kijiji cha Makulani na wananchi wa Halmashauri ya Mji Masasi kwa ujumla kwa kutimiza wajibu wa kuwapeleka watoto wao shule kwa ...