• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

Halmashauri ya Mji Masasi yatoa Mkopo wa Shilingi 79,500,000 kwa Wajasiriamali

Posted on: September 30th, 2019

Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Mzee Mkongea Ali akikagua bidhaa za Wajasiriamali.

Halmashauri ya Mji wa Masasi imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi 79,500,000. Ambazo ni sawa na asilimia 101.19 ya fedha iliyotakiwa kukopeshwa  kwa vikundi katika kipindi cha mwaka wa fedha 2018/2019.

Akizungumza leo wakati wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mheshmiwa Sospeter Nachunga amesema fedha hizo zimetolewa kwa vikundi 16 vyenye jumla ya wajasiriamali 155.

Amesema hayo ni mafanikio makubwa kwa Halmashauri ya Mji Masasi ukilinganisha na hali ilivyokuwa katika miaka ya nyuma.

“Naishukuru sana serikali ya awamu ya tano imetuwezesha kusimamimia vizuri mapato jambo ambalo limeongeza uwezo wa wa Halmashauri kusaidia jamii. Tunaamini mwaka huu tutakuwa na mafanikio makubwa zaidi ya haya”. Alisema Mheshimiwa Nachunga.

Mheshimiwa Nachunga ambaye pia ni diwani wa kata ya Napupa amewataka vijana, akina mama, na walemavu kuhakikisha wanajiunga katika vikundi ili iwe rahisi kukopesheka.

Kwa upande wake Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Mzee Mkongea Ali amepongeza hatua hiyo na kuwataka wajasiliamali walionufaika na mikopo hiyo kuhakikisha wanatumia fursa hiyo kujiinua kiuchumi.

Aidha, leo hii Mwenge wa Uhuru ukiwa Halmashauri ya Mji Masasi umepitia miradi saba (7)  ambapo katika miradi hiyo, mradi mmoja umefunguliwa, mradi mmoja umezinduliwa, miradi minne imeonwa na kukaguliwa, wakati mradi mmoja umewekewa jiwe la msingi. 

miradi hiyo ina thamani ya shilingi 1,485,752,350.00 ambapo fedha kutoka Serikali kuu ni shilingi 445,652,350.00, Halmashauri shilingi 38,100,000.00, Wananchi shilingi 2,000,000.00, na sekta binafsi ni shilingi 1,000,000,000.00.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.