Halmashauri ya Mji Masasi Mkoani Mtwara inajumla Shule za Msingi 42 ambazo zina wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la saba ambazo zinajumla ya wanafunzi 3143 ambao wanahitimu Elimu ya darasa la saba na kati ya hao wasichana 1658na wavulana 1485.
Kati ya shule 42 shule za serikali na 39na shule binafsi 3.
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.