• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

ELIMIKA: MAHITAJI YA MAANDALIZI YA HATI YA KIWANJA KWA MTU BINAFSI, KAMPUNI AU TAASISI

Posted on: January 15th, 2025

(A) MTU BINAFSI 

  • RAMANI YA MIPANGOMIJI (Iwapo ni upimaji binafsi).
  • RAMANI YA UPIMAJI WA VIWANJA HUSIKA (Iwapo ni upimaji binafsi).
  • BARUA INAYOTHIBITISHA UMILIKI WA KIWANJA KUTOKA SERIKALI YA MTAA/KITONGOJI (Iwapo ni upimaji binafsi).
  • MKATABA WA MAKUBALIANO/MANUNUZI YA KIWANJA (Iwapo umenunua kwa mtu mwingine).
  • UTHIBITISHO WA URAIA (KITAMBULISHO CHA URAIA AU NAMBA YA KITAMBULISHO CHA URAIA).
  • PICHA NDOGO SITA (PASSPORT SIZE 6). 
  • UTAJAZA FOMU YA MAOMBI YA KUMILIKISHWA NA INALIPIWA TSHS. 5,000.

ANGALIZO:

  • Ikiwa anayemilikishwa ni mtoto mwenye umri chini ya miaka kumi na nane (18), picha ndogo (passport size) za mtoto na msimamizi wake ziwasilishwe Pamoja na cheti cha kuzaliwa cha mtoto.
  • Ikiwa wanaomilikishwa ni wanandoa, kivuli cha cheti cha ndoa kiwasilishwe kikiwa kimethibitishwa na Mwanasheria.
  • Ikiwa anayemilikishwa ni msimamizi wa mirathi, nyaraka za usimamizi wa mirathi zilizotolewa na Mahakama ziwasilishwe zikiwa zimethibitishwa.

(B) IWAPO NI KAMPUNI (Nyongeza)

  • KIVULI CHA “MEMORANDUM AND ARTICLE OF ASSOCIATION” YA KAMUPNI (iliyothibitishwa na Mwanasheria).
  • KIVULI CHA CHETI CHA USAJILI WA KAMPUNI KUTOKA KWA MSAJILI WA MAKAMPUNI (iliyothibitishwa na Mwanasheria).
  • UTHIBITISHO WA URAIA KWA WENYE HISA WA KAMPUNI (KITAMBULISHO CHA URAIA AU NAMBA YA KITAMBULISHO CHA URAIA).
  • KIVULI CHA TAARIFA YA UPEKUZI (SEARCH) WA KAMPUNI KUTOKA KWA MSAJILI WA MAKAMPUNI ZA WAKATI WA MAOMBI (CURRENT).

 

(C) IWAPO NI TAASISI CHINI YA WADHAMINI WALIOSAJILIWA NA KABIDHI WASII MKUU (Nyongeza)

  • KIBALI CHA KUMILIKI ARDHI HUSIKA KUTOKA KWA KABIDHI WASII MKUU.
  • KIVULI CHA CHETI CHA USAJILI (kiliyothibitishwa na Mwanasheria).
  • KIVULI CHA KATIBA (iliyothibitishwa na Mwanasheria).
  • FOMU YA MABADILIKO YA MWAKA YA TAASISI HUSIKA.

 

(D) TAASISI YA UMMA (Nyongeza)

  • KIVULI CHA SHERIA ILIYOPITISHWA NA BUNGE ILIYOANZISHA AU KUZALISHA TAASISI YA UMMA AU SHIRIKA LA SERIKALI (iliyothibitishwa na Mwanasheria).

 

(E) TAASISI NYINGINE (Nyongeza)

  • KIVULI CHA SHERIA ILIYOANZISHA TAASISI HUSIKA (iliyothibitishwa na Mwanasheria).
  • KIVULI CHA CHETI CA USAJILI CHA TAASISI HUSIKA (iliyothibitishwa na Mwanasheria).


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.