• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

DC MASASI MHE. KASSANDA AKABIDHI ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOMAINDO, ASEMA DKT SAMIA AMEWAPA TABASAMU KUPITIA “SAMIA BONANZA MASASI”

Posted on: June 15th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Rachel Kassanda leo Juni 15, 2025 ameongoza maelfu ya wananchi kutoka Tanzania Bara na Visiwani katika mazoezi ya mbio za pole pole katika bonanza la “Umoja Jogging Club, Samia Bonanza Masasi”  zilizoambatana na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kuona wagonjwa Hospitali ya Mkomaindo na kutamatika katika Uwanja wa Sabasaba kata ya Mkuti Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara.

Akizungumza mara baada ya kutembelea wagonjwa asubuhi na Jioni ya leo, Mhe. Kassanda, amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia “Samia Bonanza Masasi” ameleta tabasamu kubwa kwa kuwapa faraja  wagonjwa kwa kutoa zawadi mbalimbali ambazo zitawasaidia kwa kiasi kikubwa katika matumizi yao. 

Nao, baadhi ya wanawake waliojifungua katika Hospitali ya Mkomaindo wametoa shukurani zao za dhati kwa kupewa zawadi hizo na kusema kwamba huduma mbalimbali wanazopatiwa Hospitalini hapo ni bora, kisasa, zenye weledi na viwango.

Bonanza hilo limeambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo kuchangia damu salama, Kupima VVU, kupima malaria bure, elimu ya ujasiriamali, biashara na uwekezaji, elimu ya utalii na kuona wagonjwa katika Hospitali ya Mkomaindo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • DC MASASI MHE. KASSANDA AKABIDHI ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOMAINDO, ASEMA DKT SAMIA AMEWAPA TABASAMU KUPITIA “SAMIA BONANZA MASASI”

    June 15, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI MASASI YANG’ARA KITAIFA KWENYE MASHINDANO YA STADI ZA UFUNDISHAJI WA SOMO LA SAYANSI KWA SHULE ZA MSINGI.

    June 14, 2025
  • RC MTWARA ARIDHISHWA NA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MATAWALE, AWAHIMIZA WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII

    June 11, 2025
  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.