Kata ya Mwengemtapika.
Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara imekamilisha Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya msingi Namkungwi kata ya Mwengemtapika iliyopokea fedha kiasi cha shilingi milioni 48 kutoka GPE Lanes.

Ujenzi wa madarasa hayo unakwenda kuwa suluhu ya miundombinu kwa wanafunzi katika shule hiyo.

MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.