Saturday 18th, January 2025
@MIGONGO MISHENI
SHIRIKA LA TANZANIA HEALTH PROMOTION SUPPORT (THPS) TANZANIA LINATEKELEZA MRADI WA KUZUIA MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU/UKIMWI KWA MAKUNDI MAALUM (KVP) KATIKA MIKOA 15 YA TANZANIA BARA IKIWEMO MKOA WA MTWARA. SHIRIKA KWA KUSHIRIKIANA NA OFISI YA MGANGA MKUU WA MKOA (RCHMT) PAMOJA NA OFISI YA MRATIBU WA SHUGHULI ZA MAPAMBANO DHIDI YA VVU/UKIMWI (MJI) CHACC IMEANDAA KIKAO CHA WADAU KWA AJILI YA KUTAMBULISHA MRADI KATIKA UKUMBI WA MIGONGO MISHENI TAREHE 21/07/2018 KUANZIA SAA TATU ASUBUHI. WADAU WOTE MNAKARIBISHWA.
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.