• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

ZOEZI LA UPANDAJI MITI LAFANYIKA MASHULENI MASASI MJI

Posted on: August 16th, 2023

Mkurugenzi  wa Mji Masasi bi Erica Yegella kwa kushirikiana na wananchi wa kata ya Mtandi  halmashauri ya Mji Masasi wamepanda miti ya Matunda aina ya parachichi na vivuli katika Eneo la shule ya Msingi Mtandi.

Zoezi hilo limefanyika agosti 16,2023 likiwa na lengo la kuboresha Mazingira kwa maeneo ya Halmashauri ya Mji Masasi.

Sambamba na hayo Bi.Erica Yegella amewapongeza viongozi na wananchi wa kata ya Mtandi kwa kuanzisha zoezi la upandaji miti katika Shule zote za Msingi na Sekondari zilizopo kata ya Mtandi.

“Hongereni wananchi na Viongozi ambao mnaongozwa na Mh.Diwani ambaye yeye ndiye anaetekeleza ilani ya chama chama cha  Mapinduzi leo tumepanda Mtandi shule ya Msingi na nipongeze kwa kuanzisha zoezi hili mimi kama Mkurugenzi naahidi  kutoa ushirikiano kwa watendaji wa vijiji,kata na mitaa na nitakuwa natoa tuzo kwa watendaji watakaofanya vizuri na kazi  bora”

Kwa upande wake Meneja tawi Masasi Davis Minja ambaye pia ni mgeni Rasmi wa zoezi hilo  ameeleza kuwa Benki ya Nmb imekuwa ikiendesha kampeni ya utunzaji wa Mazingira katika maeneo mbalimbali Tanzania.

“Bank ya Nmb tumekuwa tukiendesha kampeni ya upandaji miti katika maeneo tofauti na halmashauri ya Mji masasi tumepanda miti zaidi ya 1000 na nafurahi kuona zoezi hili na jitihada hizo zinazidi kuwa endelevu kwa maana sasa tunazidi kuboresha Mazingira na ahadi yetu ni kwamba tutazidi kushirikiana na Mkurugenzi wa Mji Masasi katika Shughuli mbzlimbali za Maendeleo” Davis Minja Meneja Nmb tawi Masasi.

AKitoa taarifa ya upandaji Miti Mtendaji kata ya Mtandi Kahinda Kahinda ameeleza kuwa wamepanda miti zaidi ya 60 katika eneo hilo na zoezi hilo litakuwa endelevu kwa kata ya Mtandi.

Aidha Kahinda amesema kuwa kata hiyo ina mpango wa kuanzisha vitalu vya uzalishaji wa miche ya aina mbalimbali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.