• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

ZIARA YA KAMATI YA UCHUMI,ELIMU NA AFYA HALMASHAURI YA MJI MASASI.

Posted on: December 14th, 2022

Kamati ya Uchumi ,ELimu na afya halmashauri ya Mji Masasi Oktoba 17,2022 imefanya ziara ya kutembelea Vikundi vya wanawake ,Vijana ,watu wenye ulemavu pamoja na Shule tatu za Msingi Kwa lengo la kukagua na kuona Maendeeleo ya Vikundi ambavyo vimepatiwa Mikopo ya asilimia Kumi Kwa ajili ya kujiendeleza katika shughuli zao za kiuchumi.Katika ziara hiyo Kamati imetembelea Vikundi vitatu ambavyo ni kutandakulewa kikundi Cha watu wenye ulemavu  ambacho kinapatikana kata ya Mtandi  kinachojishughulisha na shughuli za ufugaji kuku ,Kuuza mitungi ya Gas ,na ufugaji wa  Nguruwe,Kikundi Cha vijana ambacho kipo kata ya jida kinachojilikana Kwa Jina la Kazi Iendele ambacho kinajishughulisha na shughuli ya ufyatuaji tofali,na kikundi Cha wanawake ambacho kinajishughulisha na shughuli za ufugaji kuku.

Aidha Kwa upande wa Shule wametembelea Shule ya Msingi Temeke na Nangose Kwa ajili ya kusikiliza Changamoto zinazowakabili na  kuona Maendeeleo ya Shule hasa katika viwango vya ufaulu na Juhudi zinazofanyika kuhakikisha ufaulu unapanda Kwa asilimia mia Moja (100).

Kutokana na Changamoto ambazo wameziona Katika kipindi Cha ziara  Kwa upande wa Elimu Kama Kamati imependekeza kurudi katika Maeneo hayo kuzungumza na Jamii Kwa ajili ya kuwapa Elimu kuhusu  umuhimu wa Elimu na namna ya Mzazi/Mlezi anavotakiwa amtumze na kumlea kwa malezi Bora Mtoto wake kipindi anapokuwa Nyumbani.Hamisi Nikwanya ni Mjumbe Kamati ya Elimu ,Afya na Uchumi Ambaye pia ni Diwani kata ya Mumbaka ametoa agizo Kwa afisa Maendeeleo ya Halmashauri ya Mji Masasi Rashidi Njozi kwenda kutoa Elimu Kwa jamii kuhusu Mikopo ya asilimia Kumi na kuwafundisha namna Bora ya kutafuta Masoko Ili waweze kupata Mafanikio Mazuri ambayo yatawaondolea Changamoto Kwa kipindi Cha marejesho ya Mikopo Yao.

Kwa upande wake mwakilishi wa kikundi Cha vijana kata ya jida ambacho kinajishughulisha na  shughuli ya ufyatuaji tofali Josephu Hamisi ametoa pongezi Kwa serikali Kwa kuwapatia mkopo wa shilingi Milioni kumi na Tano (15,000,000) kwani zimewaongezea nguvu katika Mradi huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.