• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

WATOTO 17903 CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO {5} WANATARAJIA KUPATA CHANJO YA POLIO .

Posted on: September 2nd, 2022

Jumla ya  watoto elf kumi na saba mia tisa na tatu {17903}halmashauri ya mji Masasi wanatarajia kupata chanjo ya polio katika kampeni ya kitaifa   ya awamu ya tatu ambayo inatarajia kuanza September 1,2022 na kumalizika September 4,2022.

Mratibu wa chanjo halmashauri ya wilaya ya Masasi Josephu Stanley Njuyuwi  amesema kuwa chanjo hiyo itatolewa kawa kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano {5}ambao waliowahi kupata chanjo zilizopita na wasiopata kabisa.

Ameeleza hayo katika kikao cha kamati ya chanjo ya msingi wilaya ya Masasi kilichofanyika agost 31,2022 katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya wilaya ya Masasi .


Josephu Stanley ametolea ufafanuzi kwa  kampeni ya chanjo iliyopita ya awamu ya pili ambayo ilifanyika  Mei 8,2022 hadi Mei 21,2022 amesema kuwa Halmashauri ya Mji Masasi ililenga kutoa  chanjo ya polio 13796  ,idadi ya chanjo zilizotumika ni 19480 na idadi ya watoto waliochanja ni 17903 sawa na asilimia 129 hali ambayo imepelekea halmashauri ya Mji kushika nafasi ya pili kati ya halmashauri tisa zilizopo Mkoa wa Mtwara.


Pia amesema chanjo ya Polio ya  awamu ya tatu kamati imejipanga vizuri imeongeza timu ambayo itapita nyumba hadi nyumba na maeneo yote ambayo yametengwa kwa ajili ya kutolea huduma hiyo na kuhakikisha kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitano anapata chanjo.


Mkuu wa wilaya ya Masasi Claudia kitta ametoa wito kwa wazazi na walezi wote khakikisha wanawapeleka watoto wao kwenda kupata chanjo ya polio katika maeneo yaliyotengwa yakutolea huduma ili kuwakinga na magonjwa mbalimbali ambayo ni rahisi kwa motto kuambukizwa.

Mwita Leornad Werema ni Mzee maarufu ambaye amehudhuria kikoa hiko ameiomba kamati ya afya yamsingi wilaya ya chanjo ya Polio kutoa Elimu kwa jamii kuhusu faida ya chanjo na hasara ya kutompa Mtoto chanjo ili kuleta hamasa watu wajitokeze ili tufikie malengo.


Kampeni ya chanjo ya polio ya awamu ya tatu itaanza September 1,2022 na kumalizika September 4,2022 kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.