• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

WADAU WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA KUELEKEA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU JIMBO LA MASASI MJINI JANUARI 28, 2025.

Posted on: January 20th, 2025

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Masasi Mjini Ndg. Prosper Luambano amesema zoezi la  uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa Halmashauri ya Mji Masasi linatarajiwa kuanza siku ya Jumanne, Januari 28, 2025 hadi siku ya Jumatatu, Februari 3, 2025 ambapo kuna  jumla ya vituo 127 vya uandikishaji ambavyo vipo katika Vijiji na Mitaa.

Amesema hayo Januari 20, 2025 katika Mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa Jimbo la Masasi Mjini kwa ajili ya kuhamasisha zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambapo viongozi hao wameelezwa kuhusu mawakala vituoni, idadi ya vituo na masuala mbalimbali kuhusu zoezi hilo.

Amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi katika zoezi hilo imelenga, kuandikisha wapiga kura wapya ambao wana miaka 18, raia wa Tanzania wataotimiza miaka 18 kabla au ifikapo tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wanaoboresha taarifa kwa kuhamisha taarifa kutoka jimbo au kata moja kwenda mahali anapoishi, kurekebisha taarifa zilizokosewa wakati wa kujiandikisha, aliyepoteza au kadi kuharibika, zoezi linalengo la kufuata au kuondoa taarifa za watu wasiokuwa na sifa za kupiga kura ikiwemo waliofariki. 

Amesema wakati wa uandikishaji kituoni watu wenye ulemavu, wajawazito, wagonjwa, wazee na akina mama wenye Watoto wachanga watakaokwenda nao kituoni hawatapanga foleni. 

 Viongozi wa Vyama vya Siasa wamesema suala la kuwashirikisha katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ni muhimu zaidi kwao na wanakwenda kufanya uhamasishaji ili kuhakikisha wananchi wote wenye sifa za kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura wanashiriki ipasavyo kwa kujiandikisha katika zoezi hilo.

 

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.