• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

TAKWIMU ZA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA ZITUMIKE KUBORESHA HUDUMA VITUONI.

Posted on: April 29th, 2024

Takwimu za utoaji wa huduma za afya zimetakiwa kutumika  kama dira na mwongozo kwa watoa huduma za afya katika kufanya tathmini ya utoaji wa huduma bora za afya mara baada ya kiwango cha utumaji wa taarifa  za afya (MTUHA) kuongezeka  kutoka asilimia 96.56 hadi 98.98 katika kipindi cha Januari- Machi 2024 Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara.

Akizungumza April 29, 2024 katika Kikao kazi cha kujadili takwimu za huduma za afya kwa kipindi cha Oktoba- Desemba 2023 na Januari - Machi 2024, Kaimu Mkurugenzi Halmashauri  ya Mji Masasi Ndg. Andrea Kalinga amesema Takwimu zitumike kufanya tathimini ya hali ya utoaji wa huduma kwa kujipima utendaji kazi na huduma zinazotolewa na watoa huduma kwa kuzingatia taratibu, miiko na maadili ya kazi.

" Tathmini hii tunayoifanya naomba iwe ni dira, mwongozo, taa kwetu kuona pamoja na kwamba tunafanya tathmini kama kituo lakini tufanye tathmini ya mtu mmoja mmoja jinsi anavyotoa huduma kwenye sehemu yake ya eneo analolitolea huduma" Kaimu Mkurugenzi.

Mkuu wa Divisheni ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Dkt. Salum Gembe amesema lengo kuu ni kujadili takwimu za afya MTUHA huku malengo mahususi yakiwa ni kutambua ubora wa takwimu za afya, kutambua kiwango cha ufanisi wa utoaji wa huduma za afya, kubainisha  changamoto zilizopo katika takwimu za afya na kuweka mikakati  ya pamoja ili kuboresha huduma.

“Hali ya utumaji wa taarifa za MTUHA kutoka vituoni. katika kipindi cha Oktoba - Desemba kiwango cha utumaji wa taarifa ni asilimia 96.56, taarifa zilizotumwa kwa wakati zilikuwa asilimia 95.96 na Januari- Machi kiwango cha utumaji wa taarifa kilikuwa asilimia 98.98, zilizotumwa kwa wakati 95.52, kiwango cha utumaji wa taarifa kimeongeza kutoka asilimia 96.56 hadi 98.98 Januari- Machi 2024”, amesema Dkt Gembe.

Kikao kazi hicho kimehusisha wajumbe wa timu ya usimamizi CHMT, waganga wafawidhi kutoka vituo vya kutolea huduma za afya  vya Serikali na vituo Binafsi (vyote 23) na wataalamu mbalimbali wa afya.

Matukio katika picha.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.