• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

MKUU WA WILAYA MASASI AWAPONGEZA WATENDAJI KATA MASASI MJI UTEKELEZAJI WA MKATABA WA AFUA ZA LISHE.

Posted on: February 10th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe. Lauteri John Kanoni leo Februari 10, 2025 amewapongeza watendaji wa kata 14 za Halmashauri ya Mji Masasi kwa kuhakikisha utekelezaji wa mkataba wa  usimamizi wa afua za lishe unafikia malengo katika kipindi cha Robo ya pili, Oktoba hadi Desemba 2024/2025  kwa kupata “kadi alama” bora za utekelezaji.

Amesema pongezi hizo ziende sambamba na juhudi za kuhakikisha asilimia ya wanafunzi wanaopata walau mlo mmoja shuleni inaongezeka kwa kuhakikisha elimu zaidi inatolewa kwa wazazi na kutumia sheria kuhakikisha wazazi wanajitoa kwa dhati ili wanafunzi wapate mlo shuleni hali itakayosaidia kupata asilimia 100 za kadi alama na ufaulu wa wanafunzi shuleni.  

Mganga Mkuu Halmashauri ya Mji Masasi, Dkt. Salum Gembe amesema mbali za jitihada hizo, kupitia Mkurugenzi wa Mji Masasi, utekelezaji wa mkataba umeongezeka zaidi baada ya kufikiwa kwa lengo la kutoa fedha za afua ya lishe zaidi ya Tsh milioni 12  kwa kipindi cha robo ya pili kati ya milioni 16 zilizotengwa kwenye bajeti ya mapato ya ndani. 

Mratibu wa Lishe Halmashauri ya Mji Masasi, Bi. Happiness Mlamka amesema asilimia ya wanafunzi wanaopata walau mlo mmoja shuleni zimepanda kwenye Kata mbalimbali.

Amesema wataendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu lishe bora na athari zitokanazo na lishe duni ili kuhakikisha malengo ya utekelezaji wa mkataba wa afua za lishe yanafanikiwa. 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.