Mwonekano wa vyumba 3 vya madarasa shule ya Sekondari Masasi kutwa ukiwa katika hatua ya boma lilokamilika tarehe 16/11/2021.
Mwonekano wa vyumba 3 vya madarasa vikiwa katika hatua ya upauaji tarehe 20/11/2021
Kazi ya upauaji ikiendelea Shule ya Sekondari ya Kutwa Masasi tarehe 23/11/2021
Mwonekano wa vyumba 3 vya madarasa vikiwa tayari vimepauliwa tarehe 23/11/2021.
Vyumba vya madarasa katika hatua ya ukamilishaji tarehe 29/11/2021.
Vyumba vya madarasa katika hatua ya kuweka marumaru tarehe 01/12/2021
Vyumba vya madarasa vikiwa vimekamilika tarehe 09/12/2021
Mwonekano wa viti na meza katika darasa
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.