Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Bi. Erica Yegella anawaalika wananchi wote kujitokeza kwa wingi kumkaribisha na kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya Jumapili tarehe 17 septemba 2023.
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.