• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

Halmashauri ya Mji Masasi yakabidhi mkopo wa Milioni 20

Posted on: June 3rd, 2019

Mei 31,2019 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Zuena Ungele wakiambatana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya MJi Masasi Mhe.Sospeter Nachunga walikabidhi mkopo wa TZS.20,000,000/= kati ya TZS.58,000,000/= sawa na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri  ya Mji Masasi  kwa vikundi sita vya ujasiliamali katika mchanguo ufuatao. Kikundi cha Majesa Women Group kutoka  Matawale TZS.3,000,000/=, Kikundi cha Upendo kutoka Mkomaindo TZS.3,000,000/=, Kikundi cha Tuleane kutoka Namkungwi TZS.2,000,000/=, Kikundi cha Neema kutoka  Mtandi TZS3,000,000/=, Kikundi cha Amani kutoka Mkuti TZS.8,000,000/= na Kikundi cha Wachumi kutoka Mkuti TZS.1,000,0000/=

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Bi.Zuena Ungele alielezea kuwa mikopo hii ni utekelezaji wa sheria na ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Pia kaimu Mkurugezi aliendelea kufafanua kuwa kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ilitengwa bajeti ya TZS.202,355,270 kwa ajili ya mikopo ya vijana, wanawake na walemavu   sawa na asilimia 10 ya Mapato ya ndani ya Halmashauri. Asilimia 10 ya pesa iliyokusanywa  ni TZS 58,000,000/=  na leo Mei 31, 2019 imetoka TZS. 20,000,000/ kati ya TZS.58,000,000/=

Vilevile Bi.Zuena Ungele alisisitiza vikundi vyote vilivyonufaika mikopo hiyo na kusema “hii ni mikopo na sio zawadi hivyo naendelea kusisitiza kufanya marejesho kwa wakati, pia naendelea kusisitiza wanavikundi kwamba tutakuwa tunawatembelea mara kwa mara” .

Wakati wa makabidhiano Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi  Mhe. Sospeter Nachunga alipokuwa akikabidhi hundi ya TZS.20,000,000/= kwa vikundi sita alisisitiza yafuatayo:

“Hili swala la Mikopo kwa vijana , wanawake na watu wenye ulemamavu ni sehemu ya utekelezaji wa  ilani ya Chama Cha Mapinduzi”

“Mikopo hii inatoka kila mwaka hivyo ni jukumu la wanavikundi kuomba mikopo kwa sababu siku hizi hakuna riba yoyote”

Mwisho Mhe. Mwenyekiti aliwapongeza wanavikundi kwa kitendo cha kujiunga na vikundi ili wapate mafanikio chanya ambayo yataweza kuwasaidia kumudu  mahitaji yao.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.