Halmashauri ya Mji Masasi Mkoani Mtwara imepokea fedha shilingi million miambili na Ishirini {220,000,000} kutoka serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaotarajia kuanza Masomo yao mwezi januari,2023.
Fedha ambazo zimefadhiliwa na Mrdi wa lipa kwa Matokeo P4R .
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.