• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo |
    • Barua pepe za Watumishi |
Masasi Town Council
Masasi Town Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisa Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Mji Masasi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
      • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara/Vitengo
      • Idara ya Afya
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Mipango miji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Fedha
    • Machapisho
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Biashara
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Ardhi
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Utawala na Utumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Mipango miji na mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Wah. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Makataba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI LAIPONGEZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA, MKURUGENZI KWA UKUSANYAJI WA MAPATO

Posted on: January 29th, 2025

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Masasi likiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Hashim Namtumba limeipongeza kamati ya Fedha na Utawala kwa usimamizi mzuri wa ukusanyaji wa mapato ya ndani yaliyofikia asilimia 89 ya makusanyo kwa kipindi cha robo ya pili 2024/2025.

 Baraza limetoa pongezi hizo Januari 29, 2025 katika Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Kupokea, Kujadili na Kupitisha Taarifa za Kamati za Kudumu robo ya pili kwa kipindi cha Oktoba-Disemba 2024/2025. 

 Awali akiwasilisha Taarifa ya Kamati ya Fedha na Utawala kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi Mhe. Hamisi Nikwanya amesema hadi kufikia Disemba Halmashauri ya Mji Masasi katika mapato toka vyanzo vya  ndani ilikuwa imekusanya Tsh 3,021,251,720 sawa na asilimia 89.    

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Masasi Mhe. Hashim Namtumba amesema mbali na pongezi hizo jitihada zaidi ziendelee ili asilimia zipande hadi asilimia 150  hususani kwenye baadhi ya vyanzo ambavyo vipo chini kwenye asilimia za makusanyo ili kuhakikisha malengo ya ukusanyaji yanazidi malengo yaliyokusudiwa ili iweze kusaidia kuongeza ukomo wa bajeti inayofuata.

Kwa upande wake, Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bi Edith Shayo amesema Halmashauri ya Mji Masasi ni mfano mzuri wa kuingwa katika ngazi ya Mkoa hivyo kasi iendelee ili kuzidi kuwa mfano bora kwenye utekelezaji wa bajeti na miradi ya maendeleo. 

Diwani Kata ya Mkomaindo, Mhe. Ally Salvatory amesema kwa kipindi cha miaka zaidi ya mitano iliyopita rekodi hiyo ya asilimia 89 ni yakiwango cha juu zaidi na yakihistoria katika makusanyo ya ndani. 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 28, 2020
  • TANGAZO LA KAZI April 05, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • TANGAZO LA KAZI May 23, 2022
  • Kuona Vyote

Habari Mpya

  • “VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA MKOA WA MTWARA TUWEKE KIPAUMBELE CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA TIBA OKOVU NA HUDUMA MSINGI KWA WAGONJWA MAHUTUTI” RAS MTWARA.

    May 15, 2025
  • “WANANCHI TUJITOKEZE MKOMAINDO HOSPITALI KUPATA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI BURE, SERIKALI IMELIPIA GHARAMA (SAMIA SULUHU OUTREACH SERVICES)” DC KASSANDA

    April 23, 2025
  • HISTORIA YAANDIKWA MASASI MJI, ZAIDI YA MILIONI 545 ZATOLEWA MWAKA HUU WA FEDHA 204/2025 KWA VIKUNDI 105 MIKOPO YA ASILIMIA 10.

    April 07, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA MASASI MJI WATOA ELIMU KUHUSU TAHADHARI YA UGONJWA WA MPOX

    April 06, 2025
  • Kuona Vyote

Video

SHERIA ZA MITANDAO
Video Zaidi

Kurasa za Haraka

  • Sheria ndogo ya Ada na Ushuru kwa Mji wa Masasi

Tovuti Mashuhuri

  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa-Mtwara
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais UTUMISHI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • SALARY SLIPS PORTAL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    MASASI TOWN COUNCIL

    Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI

    Simu Ya Mezani: +255 23 2510685

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: info@masasitc.go.tz

Mawasiliano

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.