Atajaza fomu ya maombi ya leseni anayohiitaji na kuiptisha kwa Afsa mtendaji wa Mtaa husika, Afsa afya, Afsa Mipango Miji na mwisho fomu hiyo ataipeleka kwa Afsa Biashara.
Ataandaliwa ankara (bili) ya malipo ambapo atakwenda kulipa benki.
atapatiwa leseni ya biashara Leseni inaweza kupatikana ndani ya masaa 24 kama mwombaji atakizi vigezo na mashariti.