Saturday 18th, January 2025
@Ngongo - LINDI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Anawakaribisha Wananchi wote katika Banda la Maonyesho la Halmashauri ya Mji Masasi. Maonyesho Haya Yanafanyika Katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi Kuanzia Tarehe 01/08/2018 Hadi Tarehe 08/08/2018.Ujumbe wa Mwaka 2018 ni "Wekeza Katika Kilimo,Mifugo na Uvuvi Kwa Maendeleo ya Viwanda.
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.