Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi inapenda kuwaalika kikundi au Kampuni yenye uwezo wa kufanya kazi ya Usafi katika Jengo la Utawala na Hospitali ya Mkomaindo.
Fungua kiambata kufahamu vigezo na masharti ya Mwombaji
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA USAFI HALMASHAURI YA MJI MASASI.pdf
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.