KAZI MBALIMBALI ZA IDARA YA UTUMISHI NA UTAWALA
UTANGULIZI:
Idara ya Utawala na Utumishi ni Idara katika taasisi iliyopewa dhamana ya kusimamia Rasilimali Watu pamoja na Rasilimali Mtaji (ikiwa ina maana ya “Asset mbalimbali za halmashauri” katika kutekeleza majukumu hayo Idara inajihusisha na majukumu yafuatayo.
Kusimamia utawala bora
Kuratibu na kusimamia shughuli zote zinazotolewa na mfumo wa mishahara ya watumishi “LAWSON”
Kusimamia Kanuni, Sheria na taratibu za Utumishi wa Umma
Kutunza taarifa za watumishi na kuziuisha inapowezekana na kusambaza
Kusimamia na kuratibu masuala ya uchaguzi
Shughuli zinginezo
MASASI TOWN COUNCIL
Anuani ya Posta: P.O BOX 447 MASASI
Simu Ya Mezani: +255 23 2510685
Simu ya Kiganjani:
Barua pepe: info@masasitc.go.tz
Haki Miliki@ Halmashauri ya Mji Masasi. Haki Zote Zimehifadhiwa.